Monday, December 3, 2007

BONGO STAR SEARCH!

majaji kazini, salama mpaka anainuka...hawawezi kuimba..anasema!!
Unaweza?
Vanessa vipi, unaweza kuimba?

3 comments:

Anonymous said...

Bongo Star Search ni nzuri na ingekuwa vizuri ingekuwepo kila mwaka ili kuboresha vipaji vya vijana ambao ni Taifa la kesho.

silviamushi said...

Bongo Star Search ni nzuri.

Anonymous said...

Mambo ya "American idol" hayo! haya tutafika tu..........