Monday, December 3, 2007

UNITED AGAIST AIDS CONCERT, MWANZA!

Mwana FA, kulia na AY, wasanii wa Bongo Flava wakifanya onesho maalum katika kuadhimisha siku ya Ukimwi duniani jijini Mwanza, Desemba Mosi
Mama Salma Kikwete, Desemba Mosi alikuwa mgeni rasmi kwenye tamasha la Ukimwi liliowakutanisha wasanii wa muziki wa kizazi kipya jijini Mwanza, CCM Kirumba(United Against Aids Concert) lilioandaliwa na Kamati ya Kudhibiti Ukimwi ya Umoja wa Vijana CCM Taifa.
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudhibiti ukimwi ya UVCCM Taifa, Shigongo akipokea cheti kutoka kwa 'first lady'.
Makocha wazungu wa timu ya Yanga, sambamba na Ridhwani Kikwete (shati la mistari) na Shigongo (shoto) CCM Kirumba.

Sehemu ya umati wa vijana kwenye tamasha la Ukimwi

No comments: