Monday, February 8, 2010

JIHADHARINI NA MARAFIKI WA KWENYE FACEBOOK!


A reminder to those who are on facebook not to give too much of your personal details!!
The girl in the picture posted the nice looking pictures on Facebook and of course she got like a million friend request she accepted all of them. One of the guys started asking her to meet up and I guess to have sex she deny him but since it was Facebook she had put all her info there too so he had her address phone number etc etc so he showed up at her place and then the last 4 pictures tell the story of what happen.....!!!!


7 comments:

Masangu Matondo Nzuzullima (MMN) said...

Visa kama hivi vinatokea sana hapa Marekani. Watu wengine wanakwenda katika facebook/myspace na kwingineko kutafuta watoto wadogo. Ni hatari sana na kama ulivyosema ni lazima kuwa waangalifu. Kwa wazazi ni lazima kujua watoto wanafanya nini huko mtandaoni.

Wapo pia ambao wamewahi kufukuzwa kazi kutokana na haya mambo. Mtu anapiga simu kazini akisema kwamba ni mgonjwa sana halafu siku nzima anashinda katika facebook akieleza siku yake inavyoendelea. Bosi akiona basi mtu anamwaga unga.

Simon Kitururu said...

:-(

Anonymous said...

Hii lakini apilikabo mbele kwa mbele sizani kama hapa bongo zaweza tokea, while ngoja nizame facebook kudelete ma details mana inasikitishaaaaaaaaaaa

Lulu said...

Duh!!! Picha zinatisha sana!!!

Anonymous said...

OMG!!imeniogopesha sana,jamani ndugu zangu tuwe makini na pia tujiadhari kuchart na watu tusiowajua.

Rose said...

jamni mambo mengine siyo kabisa yani mimi sitaki kabisaaaa leoleo natoa details zangu zote kwenye face book, na sasa inabidi tuwe tunaandika za uongo du! maana hii ni balaa maskini dada wa watu alikiwa mzuri yani sisi bina damu kweli si kitu kabisaaaaaaaaaa mmmmmm sitaki jamani nafutaaaaaaaa.

maria said...

oh jamani nami naweza sema nishawahi kumpa mtu details zangu zote akaja hadi kunitembela ilkuwa mara yake ya kwanza kuja roho ikanituma ikaniambia nisende kumpokea tangu siku hiyo hana tena mawasiliano0 na mimi na anasema akitaka kunitafuta ni lazima atanipata ana namba yangu ya simu so sasa nifanye