Thursday, September 24, 2009

VILLAGE PASTOR YATUA MTAANI J3


Kanumba kiwa na aunt Ezekiel
Kanumba akiwa bush na washikaji
...mmmmwaaa!!!
Akiongea nami, Kanumba amesema kuwa baada ya kusubiriwa kwa hamu filamu yake mpya ya Village Pastor, sasa itakuwa mtaani kuanzia Jumatatu wiki Ijayo. Mashabiki wakae tayari kuwaona actors and actress waliouza sura katika filamu hiyo akina Aunt Ezekiel, Mtanga, Charles Magali, Chekibudi, Cloud a.k.a Baba Harusi na wengine kibao.

5 comments:

Anonymous said...

NIMEKUANGALIA KWENYE YOUTUBE JINSI UNAVYO JIELEZA KUHUSU WATANZANIA WENZAKO WANAVYO KUPONDA. NI HIVI JIPE MOYO UTASHINDA WEWE UNA DAMU YA U SUPER STAR NAOMBA UJIELEWE.

Anonymous said...

Cut the crap you Mr Annonymous.Nobody is crashing him.It's just that,and that includes people like you, you can't see things as in black and white. You have got to know the diffrenece between hatred/crashing and criticism.It's very clear Kanumba is being obviously loved by his fans.But that would not take away the right of his fans to blast him and turn the heat on his ass if he screwed up.Credits should be given wherever it's due .But you don't credit somebody by overlooking the very apparent flaws,on the excuse that you are incouraging him to push the envelpe even further.To me this would be nothing but hipocricy HIPOCRICY. And that is where Kanumba's issue comes in.Kanumba was not being crashed ,but rather he was being criticised by the very same fans who have, up until recently never seen the flip side of Kanumba . Regardless, your case sounds a lot uncommon to me .Like many other Tanzanians who would always take criticism for hatred."To tell the truth should always be avoided for fear of hurting somebody's feelings".Mr Annonymous your comment fits perfectly in this scenario.Don say ,Don Offend !.Let the flaws flow under your watch.To me This is what i call BS/CRAP/NON SENSE
Let me tell you this Mr Annonymous,visit BONGO CELEBRITY if you can and check out the clip in which Liz is giving a speech.It would not take a rocket science to figure out the difference,pal!
Kanumba is our star,we love him as much as you do.But this does not take away our right to put him over the barrels , whenever he screws up or if he's being goofy for that matter
Sorry if you are offended with my comment
Kweliman

mumewangu said...

HIVI KWELIMAN MBONA HATA HUYO ANONYMOUS HAJA MENTION CHOCHOTE HAPO LAKIN UMEKUWA MUONGEAAAAAAAJI LOL...AU NDO WAONYESHA KAMA NA WEWE KIMOMBO KIMEPANDA AU WAJUA KIMOMBO..OVYOOOOOO KWANI KUJUA KIMOMBO NDIO NINI KUNA VIONGOZI WANGAPI DUNIANI TENA KWENYE MATAIFA MAKUBWA TU HAWAJUI ENGLISH NA WANAFANYA SHUGHULI ZAO KAMA KAWAIDA TATIZO NYIE AMBAO MNA VICHEMBE CHEMBE VYA UTUMWA NDANI YA DAMU ZENU NDO MNAENDEKEZA HIYO ENGLISH NA KUDHARAU LUGHA YENU..MIE SIJAONA ALICHOKOSEA KANUMBA LABDA KAMA KUNA KIPANDE KINGINE AMBACHO HATUJAKISIKILIZA...KWA KIFUPI AMEJITAHIDI SAAAANA ILE NDO HALI HALISI YA VIJANA WA TZ NI WACHACHE KAMA KINA ELIZA LAKIN NI WENGI KAMA KINA KANUMBA...KWAHIYO KANUMBA HAJAUA WALA KUITUSI WALA KUITIA AIBU TZ KAMA MNAVYOSEMA NYIE WASHAMBA WA LUGHA.........KAMA INGEKUWA AMEENDA KUFANYA USHOGA TUNGESEMA KATUTUIA AIBU LAKIN KWA HILO NI DOGO SANA TENA SAAAAAAAAAANA....

Anonymous said...

Call me anything ,anyname that gives you a smile, MUMEWANGU.I read your opinion .You are certainly entitled to it.I don have any issues with it but to respect it.I would not fear nothing to express my unpopular opinion.And this goes for ppl like you.As bizarre as it sounds that's my opinion based on my personal observation.I have got no reason to explain ,to anybody and especially ppl like you.
On the flip side, I am proud of Kanumba .He 's certainly gifted.That goes without saying.I am one of his biggest fans since back in the 90's and am continuing to support his work no matter what.
And for the record,speaking of languages,it's my personal preference to embrace English more than any language to that effect. You got a problem with that? Wish i can help! Similarly,you equally have the right to express yourself in any language of your choice.That wont bother me .Not at all .To that effect,i don see any issues.A mean i don care,in other words.
Call me anything,shoot me if you can.your comment wont stop me or change who am, regardless
Kanumba is my star,celebrity and i am proud of him.How ever if i ever decide to criticise him,that is nobody's business.But that does not mean i don support him or his work.Certainly not!
Mumewangu,asante kwa maoni yako.Si kila anayetoa mawazo tifauti ni hater!.Just so you know.The issue here is that NOT EVERY BODY LOOKS AT ISSUES FROM THE SAME PERPECTIVE with YOURS
Kweliman

Anonymous said...

mmh am not sure what was the discussion about but its fun how ppl can fight over some ppl wakati mwenzao hana habari nakula bata kwa raha zake na kwa shida zenu LMFAO