Hadi leo, hii ndiyo mandhari katika makutano ya mitaa ya Zanaki na Jamhuri jijini Dar es salaam, lakini bila shaka mandhari hii itabadilika tena baada ya kukamilika jengo lingine refu (kushoto linalojomoza nondo) linalojengwa hivi sasa pale zamani palipokuwa na jengo lenye duka la Masumin...mji unaenedelea kukua kwa kasi kwa wenye 'vijisenti' kuporomosha magorofa kwa muda mfupi tu!
No comments:
Post a Comment