Friday, January 2, 2009

OFA YA MWAKA 2009 KUTOKA ZIZZOU FASHIONS

Tanzania Vest

Hand Band
Duka lako la nguo za kisasa la ZIZZOU FASHIONS STORE, tawi la Sinza Africa Sana na Victoria Petrol Station, wanatoa OFFER ya mwaka mpya kwa wateja wake. Mteja atakaefanya shopping ya nguo au vitu vingine vyenye thamani ya 150,000 atapata Hand Band na Vest moja zenye bendera ya Tanzania BURE. Hii ni Offer maalum kwa wewe mteja wa Zizzou katika kuukaribisha mwaka 2009 na kukutakia kila la kheri wasiliana nao kwa simu: 0713 833249 au 0774 770077
WAHI SASA MALI MPYA IMEWASILI!

No comments: