Awali ya yote, napenda kumshukuru Mungu kwa kunipa nafasi nyingine ya kuuona mwaka 2009 nikawa mzima wa Afya, hakika Mungu ndiye muweza wa kila jambo na ni yeye tu aabudiwe. Baada ya kumshukuru Mola, nawaombea dua kwa Mungu wale wote walioaga dunia awasemehe madhambi yao na wagonjwa awape afya na uzima....MPENDWA MSOMAJI WANGU NAKUTAKIA "A VERY HAPPY and PROSPEROUS NEW YEAR pia najivunia Blog yangu kusomwa na mtu kama wewe!
No comments:
Post a Comment