




Kipindi cha Bongo Movies cha EATV, mwaka mpya kiliandaa hafla maalum ya kuwakusanya wasanii wa filamu Bongo na kula chakula cha mchana na watoto wanaoishi katika mazingira magumu, wakiwemo yatima. Shughuli hiyo ilidhaminiwa na kampuni ya simu za mkononi, Tigo, ikishirikiana na Global Publishers na nyingine na ilifanyika Tabata katika kituo cha kulelea watoto, Januari 1 mchana.
No comments:
Post a Comment