Zantel yazindua Ofa mpya ya matumizi ya simu - "Ofa ya Simu za Gumzo"
 Meneja masoko wa kampuni ya simu za mikononi ya Zantel     Bw. William Mpinga(kulia) na Mkuu wa Huduma na Bidhaa wa kampuni hiyo Bw.     Brian Karokola (kushoto) wakiwaonyesha waandishi wa habari(hawapo pichani)     simu ya mezani inayopatikana kwa shilingi elfu 50 na simu ya mkononi kwa     shilingi elfu ishirini kwa wateja wakati wa uzinduzi wa Ofa ya Simu za     Gumzo leo jijini Dar es salaam .

No comments:
Post a Comment