Tuesday, May 31, 2011

"KIFUNGO HURU" LYRICS by C-SIR MADINI

Track Name: KIFUNGO HURU
Singer: C-SIR MADINI
lyrics composed by: C-SIR MADINI, KID BWOY & JOSEFLY
arranged by: C-SIR MADINI
Produced by: KID BWOY
Mixed by: KID BWOY
Studio: TETEMESHA RECORDZ
MAY 2011

Intro:
Eeh ieee, ooh uuh ooh
Kifungo huru ooh aaah, eeeeh

Verse 1:
Nimejikuta moyo wangu umependa,
nimetingishwa ka kibuyu cha mganga,
kama kupendapenda ni ujinga,
basi mimi sihitaji shule kabisaaaa,
muda mwingine najitoa kiakili,
ninawaeleza nyumbani nishapata mwenza,
najipa imani, ipo, siku, sumu yako itageuka asaliii,

nimechagua jela ya mapeenzi kwasababu, kwasababu
kwasababu ndipo ilipo furaha yangu,furaha yaaangu
namaumivu unayonipa wala sihesabu,
kwasababu we upo moyoni mwanguuuu x2

Chorus:
Kifungo huru sikatai, na maumivu unayonipa sitakuaga bye bye,
unaposema C-sir i hate u, mi naskia umesema C-sir i love u,
Kifungo huru sikatai, na maumivu unayonipa sitakuaga bye bye,
unaposema C-sir i hate u, mi naskia umesema C-sir i love u,

 Bridge:
heieee eh eh eh eh aah, hooouu oh oh oh oh aaah
heieee ma ma ma ma ma, kweli hiki ni kifungo huru

Verse 2:
Madini ni mengi mama, lakini dhahabu ni wewe pekeee,
nyota nazo ni nyingi angani, lakini mbalamwezi ni wewe pekee,

kama wengine ni burger nawe ni tembele,
chaguo langu ni tembele ma baby boo,
kama wengine miamvuli nawewe ni mvua,
chaguo langu ni kulowa tepe tepe,

kama wengine ni burger nawe ni tembele,
chaguo langu ni tembele ma baby boo,
kama wengine miamvuli nawewe ni mvua,
chaguo langu ni kulowa tepe tepe,

nimechagua jela ya mapeenzi kwasababu, kwasababu
kwasababu ndipo ilipo furaha yangu,furaha yaaangu
namaumivu unayonipa wala sihesabu,
kwasababu we upo moyoni mwanguuuu x2

Chorus:
Kifungo huru sikatai, na maumivu unayonipa sitakuaga bye bye,
unaposema C-sir i hate u, mi naskia umesema C-sir i love u,
Kifungo huru sikatai, na maumivu unayonipa sitakuaga bye bye,
unaposema C-sir i hate u, mi naskia umesema C-sir i love u,

Bridge:
Wewe mami wewe, ah ah ah ah ah aaah
ooh oohh mama, kweli hiki ni kifungo huru

Verse 3:
Kama ng'ombe anavumilia mijeledi lakini hachoki kutoa maziwa,
ndivyo moyo wangu unapata raha,
unapata raha kwenye hii jela ya mapenzi,

Kama ng'ombe anavumilia mijeledi lakini hachoki kutoa maziwa,
ndivyo moyo wangu unapata raha,
unapata raha kwenye hii jela ya mapenzi,

Kifungo huruu, sikatai
Kifungo huru, nimechagua
kifungo huru, kifungo huru, kifungo huruuu

Chorus:
Kifungo huru sikatai, na maumivu unayonipa sitakuaga bye bye,
unaposema C-sir i hate u, mi naskia umesema C-sir i love u,
Kifungo huru sikatai, na maumivu unayonipa sitakuaga bye bye,
unaposema C-sir i hate u, mi naskia umesema C-sir i love u,

Outro:
Aaaah, heeii, aaah aahh
C-sir, C-sir Madini Tetemeshaaaa

2 comments:

Anonymous said...

Ur da tallent man...keep it up mwana!!,ur fan Fanuel Gasper(0714359690)

Unknown said...

Big up sana