Monday, February 20, 2012

ANATAFUTWA KWA TUHUMA ZA WIZI

Kijana SALIM ISSA (Pichani) anatafutwa na Baba yake mzazi kwa kosa la wizi.

Baba yake ISSA ALLY MNGUO amesema kijana huyo ametoweka nyumbani tangu siku ya Jumatatu iliyopita.

MNGUO ameomba mtu yeyote mwenye mawasiliano na kijana huyo au atakayemuona popote pale atoe taarifa katika kituo cha polisi kilicho karibu yake au awasiliane na mzazi huyo kwa nambari za simu zifuatazo:-  0754 – 571810 au 0755 – 847787.

SALIM ISSA hupenda kutembelea maeneo ya Kibaha – Soga na Dar es Salaam.

No comments: