Watu
mbalimbali wako katika
hekaheka ya kusherehekea siku ya wapendanao maarufu kama Valentine’s
Day.
Lakini KALUNDE BAND inajiunga katika sherehe hiyo ikiwa na sababu ya
ziada
kuserebuka na kuserebusha mashabiki wake katika siku hii kwa onesho
maalumu litalofanyika Alhamisi siku ya Valentine pale katika
kiota cha maraha cha wapendanao cha Trinity maeneo ya Oysterbay jijini
Dar es salaamkaribu na
Ubalozi wa Uganda kuanzia Saa 1:00
jioni na kuendelea hadi saa 6:00 usiku.
Siku ya Valentine ni muhimu kwa
Kalunde kwani ndiyo siku ambayo bandhii ilianzishwa. Band ilianzishwa tarehe
14.02.2006.
Kukupa burudani hiyo ya kuadhimisha siku ya wapendanao sambamba na HAPPY BIRTHDYA ya kutimiza miaka saba kamili ya KALUNDE BAND ni kundi zima la bendi hiyo kama ifuatavyo.
Deo Mwanambilimbi - Rais wa Band - Muasisi wa Band
Debora Nyangi - Meneja - Muasisi
Bob Rudala - Kiongozi wa wanamuziki
Bony Kaprobo - Solo Guitar - Band Stage Leader
Shehe Mwakichui - Keyboard Player / Mwimbaji - Muasisi wa band
Edson Allen (Eddy) - Solo Guitar
Othman Amri Majuto - Bass Guitar
Rajab Nyunyusa - Tumba
Alfa - Drummer
Mackie Fanta - Mwimbaji
Devotha, Mwapwani Yahya, Shila, Amina, wote hawa ni waimbaji

ENEO : TRINITY OYSTERBAY KARIBU NA UBALOZI WA UGANDA
KIINGILIO: Tsh. 5,000.00
GETINI : ZAWADI NI GLASS OF WINE AU SHAMPEIN
MUDA: SAA 1:00 JIONI - SAA 6:00 USIKU
PIA COUPLE ITAKAYOPENDEZA WATAPEWA ZAWADI MAALUM USIKU HUO.
RAIS WA BENDI YA KALUNDE DEO MWANAMBILIMBI AKIONGOZA MASHAMBULIZI KATIKA MAONESHO MBALIMBALI--
No comments:
Post a Comment