Monday, August 15, 2011

WAREMBO WAENDA KASKAZINI KUTALII

Vodacom Miss Kanda ya Mashariki, Loveness Flavian akizungumza na waandishi wa habari katika mji wa Chalizne   Wilaya ya Bagamoyo Mkoani Pwani wakiwa safarini kuelekea Mbuga za Wanyama
Warembo wa Vodacom Miss Tanzania 2011, wakipiga picha katika daraja la mto Wami, Wilaya ya Bagamoyo Mkoani Pwani wakati wakiwa safarini kuelekea mikoa ya Kanda ya Kaskazini kutembelea Mbuga za wanyama ikiwa ni sehemu ya kuhamasisha utali wa ndani nchini.
Baadhi ya warembo wanaowania taji la Vodacom Miss Tanzania 2011, wakipiga wenye furaha baada ya kuvuka mto Wami , Wilaya ya Bagamoyo Mkoani Pwani jana wakati wakiwa safarini kuelekea mikoa ya Kanda ya Kaskazini kutembelea Mbuga za wanyama ikiwa ni sehemu ya kuhamasisha utali wa ndani nchini.
 Kaskazini kutembelea Mbuga za wanyama ikiwa ni sehemu ya kuhamasisha utali wa ndani nchini. (Picha na Mpigapicha wetu).

No comments: