Bokhe akikata keki kama ishara ya kusherehekea siku ya kuzaliwa kwake katika hafla fupi ya chakula cha jioni iliyofanyika Kebbys Hotel Mwenge jijini Dar es salaam jana ambapo alijumuika na marafiki zake pamoja na baadhi ya ndugu zake.
Bokhe akipozi kwa picha katika hafla ya kuzaliwa kwake iliyofanyika jana
No comments:
Post a Comment