Tutazidi kuwakumbuka mashujaa na wanamapinduzi wetu,
Moja
wao ni mwanasiasa marehem Professor Abdulrahaman Mohemmed
Babu(RIP),mpiganaji,mwanaharakati,mwanasiasa,msomi,mwanaharakati
ujamaa kwake ulikuwa ndio mfumo wa maisha.
Marehem Abdulrahman Mohammed Babu alizaliwa siku kama ya leo
22 September 1924 huko visiwani Zanzibar,
kama angelikuwa hai leo angesherekea siku yake ya kuzaliwa
No comments:
Post a Comment