Tuesday, December 29, 2015

MTEMVU ATETA NJE YA MAHAKAMA KUU YA TANZANIA JIJINI DAR ES SALAAM


 Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Temeke Abbas Mtemvu akiteta jambo na wafuasi wake nje ya Mahakama Kuu ya Tanzania, baada ya kesi aliyoifungua ya kupinga matokeo ya uchaguzi wa jimbo hilo kuahirishwa hadi Januari 22, 2016 Dar es Salaam  (PICHA ZOTE NA UJIJIRAHAA BLOG)

No comments: