Thursday, October 19, 2017

MBIO ZA TIGO DODOMA HALF MARATHON ZAZINDULIWA RASMI


Mkuu wa Mkoa wa Dodoma -  Jordan Rugimbana akizungumza na waandishi wa habari anayefuatia ni Kaimu Meneja wa Tigo Kanda ya Kaskazini - Henry Kinabo na mwisho ni Mkurungenzi Mtendaji wa Vision Investment, Ally Nchahaga wakizungumza na waandishi wa habari (Hawapo pichani) katika uzinduzi rasmi wa mbio ndefu za Dodoma almaarufu Dodoma Marathon. Mbio hizo zimethaminiwa na Tigo Tanzania na zinatarajiwa kufanyika jijini Dodoma mwezi  Novemba mwaka huu.

(Kutoka kushoto)  Katibu wa Chama cha Riadha Mkoa wa Dodoma - Robert Mabonye , Mkuu wa Mkoa wa Dodoma -  Jordan Rugimbana ,Kaimu Meneja wa Tigo Kanda ya Kaskazini - Henry Kinabo na Mkurungenzi Mtendaji wa Vision Investment, Ally Nchahaga wakiwa katika picha ya
pamoja mara baada ya kuzungumza na waandishi wa habari katika uzinduzi rasmi wa mbio ndefu za Dodoma almaarufu Dodoma Marathon. Mbio hizo zimethaminiwa na Tigo Tanzania na zinatarajiwa kufanyika jijini Dodoma  mwezi Novemba mwaka huu.  



Waandishi wa habari wakichukua matukio katika atika uzinduzi rasmi wa mbio ndefu za Dodoma almaarufu Dodoma Marathon. Mbio hizo zimethaminiwa na Tigo Tanzania na zinatarajiwa kufanyika jijini Dodoma  mwezi Novemba mwaka huu.   .

No comments: