Na Mwandishi Wetu
Warembo wa Tanzania waliojitambulisha kwa jina moja moja la Amina, Janie na Candy wamepiga picha za utupu (x) na kuzisambaza sehemu mbalimbali za jiji la Dar es Salaam.
Gazeti hili lilifanikiwa kupata picha za baadhi ya warembo hao hivi karibuni wakiwa katika mitindo mbalimbali ya mahaba. Aidha nyuma ya picha hizo warembo hao wameweka namba zao za simu za mikononi pamoja na mitandao wanayopatikana.
Kufuatia kuwepo kwa mawasiliano ya mabinti hao, gazeti hili liliamua kuwapigia kwa nyakati tofauti na kufanikiwa kumpata Janie aliyedai yupo Arusha kikazi. Janie alisema kuwa, angerudi jijini baada ya siku tatu na kama kuna mtu anahitaji huduma yake aweke mihadi naye kwa sababu alikuwa na ‘oda’ nyingi jijini Dar es Salaam.
Kwa upande mwingine gazeti hili liliamua kufungua mitandao iliyoainishwa katika picha hizo na kukuta mambo ya kusikitisha. Katika mitandao hiyo warembo hao wameweka bei za huduma wanazozitoa na pindi mteja anapokubaliana nazo humtumia picha mbalimbali za utupu ili kumshawishi.
Hata hivyo, warembo hao wanaodaiwa kushiriki mashindano ya urembo jijini Dar es Salaam katika ngazi ya vitongoji, wameambatanisha ujumbe ulioandikwa kwa lugha ya Kiingereza kuwa hawatoi huduma ya siku nzima. “Do you need a body to rest? Just call 07..45..*6 for short time only, no room for full time,” unasomeka ujumbe huo.
Gazeti hili limeshindwa kuchapisha namba na mitandao wanayopatikana warembo hao kwa sababu maalum.

3 comments:
I doubt authenticity of this story.Fact is,the said pictures are of some Black-American porn stars.Cheap journalism or failure to check reliability of sources?
Ndugu yangu Mrisho kama ulisoma hapo nyuma katika mmojawapo ya blog za michu nilisemakuwa kuwa tatizo mojawapo la sisi journalism wa kibongo wanahandika habari nyingi kutokea midomo wa watu bila ushaidi wa kutosha pia hizo picha ninaweza kukupa website za hao mabinti pia ukiwa journalism unatakiwa kuandika kila kitu kama website zao kama number that private lakini majina na pia hata kila infrormation zote unatakiwa utowe hii ndio maana hata matatizo ya gov yetu inakuwa ngumu kwa sababu mnawadanganya raia na viongozi maana hawapati ukweli wa habari ujuwe kuwa hata kama wakikupeleka mahakani unakuwa na ushaidi wa kutosha sio kuandika uvumi tu.. ili watu tusome ....plz tuandika mambo yenye ushaidi na ukweli wake sio umepata habari kwa mtu fulani na unaandika habari za mtu fulani...asante
Wewe Mrisho...Nadhani hamjuai mnalofanya..It is true as Anonymous is saying kwamba ni cheap Journalism..habari za mdomoni na njaa kali zinawasumbua wandugu...Leo kwenye udaku wenu mmetoa hiyo URL ya hao wabongo..Na Mnakataa kuwa sio Porn Star Wa Ameica..Kwa taarifa yako huyo ni Porn Star America..Na jina Lake halisi Anaitwa Lori Alexia..tafuta zaidi utamjua..Msikurupuke tu kuandika mambo fanya utafiri wewe..Nina mashaka na elimu yako ya uandishi wa habari..wewe na Hao wenzako wote na hayo magazeti yenu!!
Post a Comment