Thursday, March 8, 2018

BITEKO AWAPA SHAVU WANAWAKE BUKOMBE

Mbunge wa Jimbo la Bukombe Mhe Doto Mashaka Biteko ambaye pia ni Naibu Waziri Wa Madini akihutubia wakati wa maadhimisho ya siku ya wanawake ambayo katika Mkoa wa Geita yamefanyika Wilayani Bukombe, Leo 8 Machi Machi 2018. Picha Zote Na MathiasCanal-Wazo Huru Blog
Mbunge wa Jimbo la Bukombe Mhe Doto Mashaka Biteko ambaye pia ni Naibu Waziri Wa Madini (Kushoto) akijadili jambo na Mkuu wa Mkoa wa Geita

NAIBU WAZIRI MAVUNDE AENDELEA KUWABANA WAAJIRI WANAOKIUKA SHERIA ZA NCHI

  NA K-VIS BLOG/Khalfan Said, Mkuranga
NAIBU Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, anayeshughulikia Kazi, Vijana na Ajira, Mhe. Antony Mavunde, ameendelea kuwabana waajiri wanaokiuka sheria za nchi ambapo leo Machi 8, 2018

SERIKALI YAFUNGA KIWANDA KWA SIKU 14

  Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, anayeshughulikia Kazi, Vijana na Ajira, Mhe. Antony Mavunde, akizungumza na

Wednesday, March 7, 2018

MWIMBAJI MARTHA BARAKA KUNOGESHA TAMASHA LA PASAKA 2018

Mmoja wa waratibu wa tamasha la Pasaka 2018, RainFred Masako (kati) akizungumzia maandalizi ya tamasha la Pasaka 2018 yanayotarajia kufanyika Kanda ya Ziwa katika mikoa ya Mwanza na Simiyu. Pembeni ni Mwimbaji wa Nyimbo za Injili, Martha Baraka na Meneja wa Msama Promotions Ltd, Jimmy Charles mapema leo jijini Dar es Salaam.
Masako amesema kuwa wakati umefika kwa wakazi wa Kanda ya Ziwa kujipatia  burudani ya muziki wa njili kutoka kwa waimbaji mbali mbali ambao mpaka  sasa wamethibitisha kushiriki kwao.
 Mmoja wa waimbaji mahiri wa nyimbo za injili Martha Baraka akieleza namna  alivyojiandaa katika tamasha la pasaka 2018,mapema leo mbele ya  Waandishi wa

NJIA TANO ZA KUILINDA SIMU YAKO YA ANDROID

Na Jumia Tanzania


Kama unamiliki simu inayotumia mfumo wa Android, basi hautakiwi kijisahau hususani juu ya masuala ya usiri wa matumizi yako na usalama. Hususani kama simu yako ya Android haipati maelekezo ya kusasisha mifumo ya kiusalama mara kwa mara kama watumiaji wa iPhone. Kumiliki simu ya Android inamaanisha kwamba unatakiwa kuwa na umakini wa ziada hususani kwenye progaramu unazozipakua mtandaoni, aina ya mafaili ya APK unayoyaweka kwenye simu yako, kuwa mwangalifu na watengeneza programu wanaozitoa bure. 

Kwa kuwa watumiaji wa Android hawapati fursa ya kujulishwa kuhusu kusasisha usalama wa simu zao kwa mwezi au wiki, kuna hatua muhimu za kufuata ili kuifanya simu yako ya Android kuwa imara dhidi ya mashambulizi kutoka nje - programu zinazolenga kudhuru au kuharibu na kudukua mifumo ya simu. Kuna njia kadhaa za kuilinda simu yako ya Android dhidi ya mashambulio hayo ambayo Jumia ikiwa inajiandaa kuwalete ‘Wiki ya Simu’

Mdahalo Wakuwania Uongozi wa Urais Jumuiya ya Watanzania DMV (Part 2)

Mdahalo Wakuwania Uongozi wa Urais Jumuiya ya Watanzania DMV (Part 2)
Wakurugenzi: Mdahalo wa sehemu ya pili wa kugombania kinyang'anyiro cha wa Wakurugenzi kupitia Jumuiya ya Watanzania waishio DMV, ulioandaliwa na Tume ya Uchaguzi, Siku ya Jumamosi March 3, 2018 katika ukumbi wa Indiana Springs Terrance Local Park Sliver Spring Maryland Nchini Marekani.

NAIBU WAZIRI MAVUNDE AIAGIZA WCF KUWAFIKISHA MAHAKAMANI WAAJIRI 6,907 AMBAO WAMESHINDWA KUJISAJILI NA MFUKO WA FIDIA KWA WAFANYAKAZI

  NA K-VIS BLOG/KHALFAN SAID

SERIKALI imesema haitabadili msimamo wake wa kuwapeleka mahakamani waajiri wote ambao bado hawajajisajili na Mfuko wa Fidia Kwa Wafanyakazi, (WCF), Naibu  Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, anayeshughulikia Kazi, Vijana na Ajira, Mhe. Antony Mavunde amewaambia waandishi wa habari leo Machi 6, 2018 jijini Dar es Salaam.

Naibu Waziri ametoa tamko hilo wakati wa ziara yake ya kushtukiza aliyoifanya wilayani Temeke jijini Dar es Salaam

Tuesday, March 6, 2018

Watanzania wahimizwa kujiunga na mtandao wa mitaji


Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Prof. Faustine Kamuzora amewataka wafanyabiashara nchini kuhamasika kujiunga na mtandao wa mitaji ya ubia ili kuimarisha vitega uchumi vyao na pia kusaidia kuanzisha viwanda hapa nchini.

Monday, March 5, 2018

Mbio za Tigo Kili Half Marathon zafana mjini Moshi, mkoani Kilimanjaro

Mshindi wa kwanza wa mashindano ya Tigo Kili Half Marathon upande wa wanaume,  Gefrey Kipchumba kutoka Kenya akimaliza mbio kwa kutumia saa 1:03 kwenye uwanja wa ushirika mjini Moshi jana.

</ tr>
Mshindi wa kwanza wa mashindano ya Tigo Kili Half Marathoni upande wa wanawake,  Grace Kimanzi kutoka Kenya akimaliza mbio kwa kutumia saa

MNEC SALIM ASAS ATOA MILIONI 24 KWA AJILI YA MAENDELEO YA UWT WILAYA YA MUFINDI

Mjumbe wa halmashauri kuu ya taifa ya chama cha mapinduzi (CCM) MNEC Salimu Asas ameendelea kuineemesha jumiya ya umoja wa wanawake mkoa wa Iringa (UWT) kwa kutoa kiasi cha shilingi milioni sita (6,000,000) kwa jumuiya hiyo wilaya ya Mufindi kwa kutoa kiasi cha shilingi milioni sita kwa ajili ya kuendeleza miradi ya umoja huo na kuondokana kuwa tegemezi. Mjumbe wa halmashauri kuu ya taifa ya chama cha mapinduzi (CCM) MNEC Salimu Asas akikabidhiwa shati na

WAZIRI UMMY AIKABIDHI TIMU YA COASTAL UNION KIWANJA AHAIDI NEEMA




WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu na Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Tanga katika akiwa na baadhi ya viongozi wa timu ya Coastal Union wakati akipokwenda kuwakabidhi kiwanja eneo la Maweni Jijini Tanga kushoto ni Mkurugenzi wa Jiji la Tanga Daudi Mayeji kulia ni Mkurugenzi wa Kampuni ya City Plan Consultants (T) Limited Dkt Juma Mohamed

Waziri wa Afya maendeleo ya Jamii Jinsia wazee na watoto Ummy Mwalimu katika akimuonyesha kitu  Mkurugenzi wa Kampuni ya City Plan Consultants (T)