Wednesday, October 31, 2007

THE GREAT KANUMBA

Mcheza filamu wa Bongo, Steven Kanumba, siku hizi anajiita Kanumba The Great!

9 comments:

Anonymous said...

hawana kazi hawa..

Anonymous said...

sasa huu u great ni wa nini?

Anonymous said...

is the gud actor

Anonymous said...

Kanumba bwana ndio maana umeachwa na Wema kwaajili ya Ushamba wako.Kuwa mjanja mwana wane.

Anonymous said...

wewe wema hajamuacha kanumba ila kanumba ndiyo kampiga chini wema kwasababu ya tabia mbaya ya wema...kwanza wema sio class ya kanumba,kanumba yuko juu sana tunampenda...mwigizaji wa kimataifa na ni handsome kinoma..

Anonymous said...

huyu jamaa yuko juu kuliko mwigizaji yoyote nchini tz na ana wapenzi wengi kuliko msanii yoyote tz hata huku london tunamkubari na kumpenda sana kanumba pia ni mtanashati good loverboy...

Anonymous said...

JAMANI MNATAKA KUNIAMBIA KANUMBA ANAMILIKI HILO GARIIIIIIII????????KWELI THA GUY IS GREAT..KEEP IT UP KANUMBA

Anonymous said...

I LOVE U KANUMBA....U VE A NICE CAR.....

Anonymous said...

anajitahidi kwenye acting,lakini naona kama bado mshamba mshamba,sasa hivyo viatu vyeupe hapo vinakujaje?