Saturday, October 27, 2007

SAMAKI 'NCHANGA'








ukiangalia haraka na wakati wameshatengenezwa panya hawa 'samaki nchanga', unaweza kufikiri unakula kuku au ngisi!!

1 comment:

Anonymous said...

Aisee hii ni hatari ndugu yangu! hawa ni wachina nini??! Yaani nikigundua nimelishwa "samaki nchanga" naweza nikatapika hapo hapo. Ni vizuri kuuliza ndugu zangu kabla haujavamia na kula nyama yeyote ile!!!