Monday, November 12, 2007

BIG BROTHER MSTAAFU!

Mwisho Mwampamba- alikuwa mshindi wa pili na mshiriki wa kwanza kutoka Tanzania kuingia BBA house pale mashindano hayo yalipoanzihswa kwa mara ya kwanza, sasa macho ya Watanzania yamehamia kwa Richard!

No comments: