Tuesday, November 13, 2007

HII INAFANYIKA JAPAN TU!

Wajapan hawataki kuloa hata chembe..!
Hata viatu vina mwamvuli wake..!
Hataki shida ya kusubiri kupepewa..iko feni ya kulia kwa staili hiii...!!!

No comments: