Monday, November 5, 2007

MALEZI

Mama kwenda na mtoto mdogo Bar kukata kilevi inakubalika?

2 comments:

Anonymous said...

Abby umenikumbusha mbali sana!!! kumbe Bonga bado ipo!!! si pale Shariff shamba. hahahaaaaa

Hans

Mrisho's Photography said...

Hans,
Bonga Bar ingalipo na visa vyake kama kujaza machangu na ma braza men inaendelea..haijafa lakini sio miongoni mwa Bar zinazofunika, siku hizi kuna Angel's Park ndio inaongoza maeneo ya Sharieff Shamba...!