WAZEE WA NCHI
Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiteta na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifaya CCM, Waziri Mkuu,Edward Lowassa nje ya Ofisi ya CCM ya mkoa wa Dodoma juzi, katika mkutano wa kuwatambulisha viongozi wa CCM waliochaguliwa katika mkutano mkuu ulifanyika mwishoni mwa wiki mjini Dodoma. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment