Thursday, November 8, 2007

waziri mkuu


Waziri Mkuu,Edward Lowassa akisalimiana na Mkuu wa mkoa wa Arusha, Isdory Shirima baada ya kwasili kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro kwa ajili ya kufungua warsha ya mapitio ya awamu ya pili ya Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) kwenye hoteli ya Imapala mjini Arusha jana. (Picha na Ofisi ya Wairi Mkuu)

No comments: