Sunday, December 23, 2007

KARIAKOO MTAA WA AGGREY !

..maghorofa ya mtaa wa Aggreyy ynavyoonekana kuelekea mitaa ya Jangwani na barabara ya Morogoro. Miezi sita iliyopita ghorofa hili halikuwepo!
..Aggrey ikiendelea kujengwa, inavyoonekana sasa kama unatoka Mtaa wa Msimbazi kuelekea TBL (Tanzania Breweries Ltd).
Unaoonekana kushoto ndio mtaa wa Aggrey kuelekea Mtaa wa Msimbazi kama unatoka TBL ulivyo leo, umejaa maduka na maghorofa yanayojengwa kila siku. Baada ya miezi mitatu ijayo hapa pataonekana vingine.

No comments: