TANZANIA NATIONAL STADIUM!
Paa za uwanja mpya (zilizozungurushiwa duara) zinzvyoonekana ukiwa maeneo ya Shule ya Sekondari ya Benjamin Mkapa, barabara ya Uhuru, Kariakoo Dar es salaam. Uwanja mpya (Tanzania National Stadium) unavyoonekana ukiwa Kariakoo ghorofani.
No comments:
Post a Comment