STAA WA BONGO HOLLYWOOD USA!
Steve Kanumba Ray Kigosi
Hawa ndio mastaa wa filamu wa Bongo waliojuu kwa sasa! Tumepewa taarifa, tayari staa mmoja wa filamu Bongo, Steve Kanumba, ametua Hollywood Marekani kwa mwaliko rasmi kutoka John Wayne International Movie Award (?)..Waughaibuni mnaifahamu hii...tupemi taarifa!
18 comments:
mimi eddy niko hapa maryland U.S.A ni kweli huyu jamaa yuko huku maana nilimuona ktk sullivan summit ambapo rais kikwete alikuepo,jamaa alipiga suti nyeusi na wengi tulipiga nae picha hakika tulifurai sana kumuona star wetu wa home kesho yake tukaambiwa amekwenda los angels kutembelea hollywood na universal studios.
eebanae huyu mshkaji yupo nilikua siamini kama ni yeye juzi nilipomuona ktk club ya watanzania waishio washington dc itwayo safari maana kanenepa sana wasanii wa bongo kwa kujiachia tu mshaurini afanye mazoezi bwana.
NI KWELI KANUMBA YUPO HOLLYWOOD AMEPIGA PICHA NA MME WANGU WAKIWA LOS ANGELS MAENEO YA HOLLYWOD NIAMBIENI JINSI YA KUTUMA PICHA KTK HII BLOGN YENU NIWAPOSTIE PICHA.....THE MAN IS REAL HANDSOME.
Huyu bwana mdogo nina movie zake kwangu za johari na dar to lagos hapa new york nilipomuona ktk sullivan summit DC akipiga picha na asha rose migiro na star wa film hollywood chris turker sikuamini mpaka pale nilipoona wabongo wengi hasa wadada wakipiga nae picha bila shaka atakua hollywood maana sikubahatika kuongea nae.
Huyu jamaa kweli yuko huku na wabongo wengi wametokea kumwalika sana kwa chakula nae anahaidi kutokea lakini cha ajabu hatokei ukipiga sim kwa wenyeji wake unaambiwa mara kaenda loc agl,mara new y,dc,wasanii wa bongo mpendwe vp?kualikwa hollywood isiwe nongwa mashabiki wako tunakupenda so usituudhi.
KANUMBA CM YAKO YA MKONONI IKO BIZE NADHANI KULIKO HATA UNAVYOKUA BONGO UKUNIJUA NILIKUONA MAENEO YA WHITE HOUSE KWA BUSH NA WENGI WALIOKUA WAKIKUPIGIA NI WATOTO WA KIMAREKANI..ANGALIA BROH USIRUDI BONGO KILO2..BT ALL IN ALL U RE A GUD ACTOR NAOMBA NIKUITE MR.HOLLYWOOD.
Plzzzzzzzz steve kanumba marry me.I'm camil from Texas..i love u baby boy.your eyez n lips drive mi crazy.
Nilikasirika sana kusikia unatembea na yule malaya miss wa kila mwanaume eti wema japo ulikua unapinga si kweli,kama ungeendelea nae sidhani hata huko hollywood ungefika maana alikua anaharibu CV zako na kukupotezea mashabiki wakati wewe asili yako ni upole tokea utotoni,karibu marekani uone watoto wazuri waliotulia sio huyo malaya.hongera sana ukifika new york nipigie.kaka yk RAJ.
NI KWELI KANUMBA YUPO HOLLYWOOD AMEPIGA PICHA NA MME WANGU WAKIWA LOS ANGELS MAENEO YA HOLLYWOD NIAMBIENI JINSI YA KUTUMA PICHA KTK HII BLOGN YENU NIWAPOSTIE PICHA.....THE MAN IS REAL HANDSOME.
Tafadhali nitumie kupitia email yangu: amsalawi@yahoo.com, NITAFURAHI UKIFANYA HIVYO!
jamani uyu kaka kweli yukousa na anaishi kwa dada mmoja anaitwa sharifa kalala na ana mtoto wake na yuko hollywood nandie wako pamoja na atawini tu uyu jamaa anajiyuma sana kaza buti mjombasisi tuko pamoja kaka kanumba wakwenu apa
Mimi abby niko Denmark.
Huyu bwana Kanumba namjua na ninajuana na ndugu zake ambao wanaishi hapa Denmark. Kwa kweli ni actor mzuri sana wa tanzania nimeona filamu zake nyingi tu. Na zote nzuri sana za kisisimua, na sasa yupo Washington.
Nakutakia kila la kheri ndugu yangu.
KWA TUZO YA KIMATAIFA ALIYOIPATA KANUMBA NI RAISI KWAKE KWENDA HOLLYWOOD...MUNGU AMBARIKI SANA HUYU KAKA KWANZA NI MPOLE HANA MAKUU.
Guys, nasikia yule J Lo TZ, Binti Manongi aka Sinta yuko Uganda kawekwa ndani na mwanaume na ana mtoto. Mwenye habari kamili atumuvuzishie basi.
Mhh! Atarudi tena Bongo huyu? Na watoto wa kimarekani walivyodata? Jamani mlo karibu naye mshaurini Kanumba iingawa ametulea lakini kwa spidi ya hao watoto asifikiri kuwa US hakuna Aids!.
yes nikweli yuko hollywood na sm yake kama hapo dada alivyosema iko busy oll the time kwasababu anakuwa anaongea, kuhusu kunenepa anajitahidi kufanya mazoezi kila asubuhi na jioni atapungua nitamwambia ajitahidi, na kuhusu wanawake hana tabia hiyo mpaka sasa hana mtu jamani anampenda mungu sana kanumba mda mwingi anaumaliza kuandika sinema zake na kusoma bible basi hana time ya wanawake kaokoka namimi nawahakikishia kaokoka nasoma nae bible kila sk na tunajadili kwakweli ni kijana mzuri sana hana maringo yeye mambo yote kwa yes so nawaombeni jamani muwe mnamtia moyo bado nikijana mdogo sana kiumri tusimponde tumsaidie katika mawazo anayetaka maelezo zaidi kukusu kanumba na mawasiliano huko hollywood awasiliane na mimi nawashukuruni wote mliotoa comment zenu god bless u oll
bongo atarudi tena soon na ukimwi anajua kama upo na sidhani kama alienda kwasababu ya kutafuta madem hana tabia hiyo plz msimpe tabia ambazo hana ni kijana mzuri sana
NANI ANASEMA KANUMBA HAMAIND MADEMU HUYO HIVI AMESAHAU UMAARUFU WA BONGO NN?
Kanumba hebu nyoa hizo nywele za paka uote natural hair utapendeza zaidi.
Post a Comment