Saturday, December 22, 2007

KINA MAMA HAWAISHI VITUKO!

NI MKE WA DAKTARI, ISOME HAPA: WWW.GLOBALPUBLISHERSTZ.COM

6 comments:

Anonymous said...

Plz ww Mrisho naomba utoe iyo picha inatudhalilisha sisi wanawake,kwani wewe huna mama.Itoe sio vizuri.Wa Ukweli ukweli.

Anonymous said...

Wanawake tunajidhalilisha sisi wenyewe, siyo mrisho! tuone aibu kabla ya kuonewa aibu na wanaume!

Anonymous said...

kwani uyo mama alikua anategemea nini akome wala usiitoe ndio aone joto ya jiwe uo ni umalaya tu mtu mzima ovyo

Anonymous said...

malaya tu usifute mwache ajifunze kwanza

Anonymous said...

Jamani sijui aliweka nadhiri, au alikuwa kalewa sasa wenziwe huwa wanavuaga nguo ngoma ya ndani yeye kavulia ukumbini! Maajabu na hakujua sijui kama anapigwa picha, hizi simu za mkononi zenye picha kuna siku zitamfunga mtu au zitasababisha mtu alipe pesa kibao.

Kama ingekuwa mie huyo mama na shughuli imefanyiwa uani sio hadharani ninge msue mtu aliyeipeleka hiyo picha gazetini inawezekana alikuwa kwenye kundi la wanawake watupu. Na huyo aliyeituma gazetini alikuwa na nia ya kumdhalilisha tu. Upaparazi nao umezidi hivi hamjui shughuli private! Namuonea huruma kweli kama mumewe ana roho ndogo talaka tayari. Pole dada pombe sio chai!!

Anonymous said...

Nyie anonymoses wa tarehe 24, 2007 4:04 AM na wewe 22, 2007 12:33 PM na wewe 24, 2007 4:08 AM Amna adabu kabisa malezi hamjapewa na walezi wenu,kwani mmezaliwa wapi?Au amna mama?na wewe uliyepiga picha au kuipeleka kwa Erick na ukapata vijisenti huna dini?Utakuta amefanya ivyo akiona kuwa ni wakina mama ndio wapo peke yao,Msiwe kama wanyama kuweni kama binadamu tunao pendana duniani mapito tu apa.Nikiwa kama jinsia ya kike namuomba Mrisho aitoe hii picha apa na nikiwa kama mdau wake mkuu wa blog yake,sikukuu njema ya mwaka mpya.Wa ukweli.