Saturday, December 8, 2007

MTAA WA KWANZA YAZINDULIWA!

E bwana wee, ni kujiachia tuu Mtaa wa Kwanza...!
MC Gadna G Habash: Niiuze shi ngapi albamu hii?
Mama Luiza Mbutu akituliza bol...!
'Timu' ya African Stars 'uwanjani' jana ikizindua albamu yao ya Mtaa wa Kwanza Diamond Jubilee, Dar. Picha zaidi: WWW.GLOBALPUBLISHERSTZ.COM

1 comment:

Obat Vimax said...

nice blog and good information