Amiri Jeshi Mkuu,Rais Jakaya Kikwete na Mkewe Salma (wapili kulia) wakifuatilia gwaride la maadhimisho ya shereheza miaka 46ya uhuru wa Tanzania Bara kwenye uwanja wa Jamhuri mjini DodomaLEO. Wengine pichani ni Makamu wa Rais, Dr. Ali Mohamed Shein , Rais wa Zanzibar, Aman Abeid Karume, Waziri Mkuu, Edward Lowassa na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi nchini, Jenerali Mwamunyange. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment