Tuesday, December 4, 2007

WAZIRI MKUU UGHAIBUNI


Waziri Mkuu Edward Lowassa na Mkewe Regina waktazama kazi za mikono wakati walipotembelea banda la Burkina Faso katika maonyesho yaliyoambatana na ufunguzi wa mkutano wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo ya Viwanda (UNIDO) kwenye ukumbi wa Austria Centre jijini Vienna juzi. Kulia kwake ni Waziri Mkuu wa Burkina Faso, Tertius Zongo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


No comments: