Tuesday, January 15, 2008

POLE YA PM


Waziri Mkuu,Edward Lowassa akimpa pole mkuu wa Mkoa wa Tabora, Abed Mwinyimsa jana ambaye amaelazwa katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es salaam kwa matiabu. Katikati ni mke wa mke wa mkuu wa mkoa huyo, Fatuma Mwnyimussa.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments: