Mwanadada maarufu katika medani ya muziki, Kelly Rowland (kati), amejionea hali halisi ya Bongo baada ya kupelekwa Uwanja wa Fisi Manzese kujionea hali halisi ya maisha wanayoishi watu hapo...ubalozi wake katika masuala ya Ukimwi anautumikia ipasavyo, hapa anaibuka kutoka ndani ya kibanda miongoni mwa vibanda kibao vilivyopo eneo hilo ambako ngono zembe inafanywa kila siku na bei ya machangudoa wa hapo, wapo hadi wa shilingi 200 (mia mbili) tu!!!!!
No comments:
Post a Comment