Saturday, June 21, 2008

MAJENGO MENGI MABOVU

Kuanguka kwa jengo la ghorofa 10 leo jijini Dar, kumedhihirisha kilio cha siku nyingi kuwa majengo mengi yanayojengwa dar na kuchipua kama uyoga, mengi yako chini ya kiwango na iko siku maafa makubwa zaidi yatatokea, hasa maeneo ya Kariakoo. Suppose jengo hili lingeanguka mitaa ya kariakoo, Kongo kwa mfano?!

No comments: