
Michuzi angali akirekebisha na kuboresha zaidi mtandao wake mpya ambao haupatikani kwa muda. Ila kwa sasa anapatikana hapa:michuziblog.blogspot.com hapa anawatoa wasiwasi wadau na wanajamii wote kuwa mambo yatakauwa mswano wala wasikonde na ukirudi mtandao wake mpya utarudi kwa kishindo!
No comments:
Post a Comment