

Katika shindano la mwaka huu, mbali ya warembo hao kugombea taji la Miss Tanzania, wanachuana kuwania taji la mtandao linalojulikana kama Miss globalpublisherstz.com ambalo litatolewa kwa mrembo mwenye mvuto kuliko wote wanaoshiriki mwaka huu.
Mshindi wa shindano hilo, ambalo tayari linaendelea kwenye mtandao wa www.globalpublisherstz.com, atachaguliwa na wasomaji wa mtandao huo unaotembelewa na wastani wa watu 20,000 kila siku duniani kote na hadi sasa umeshatembelewa na zaidi ya watu mlioni 2.
HABARI ZAIDI NENDA: WWW.GLOBALPUBLISHERSTZ.COM
No comments:
Post a Comment