Tuesday, September 23, 2008

LATOYA HUYOOO!!!


Hatimaye Latoya ametua Bongo na kesho atakuwa na press kueleza nini kilitokea mpaka akawa wa kwanza kutolewa badala ya wa mwisho kama ilivyosiku zote kwa Tanzania. Pichani akiongea na Seven ambaye alikuwa mwakilishi wa Mnete nchini kwa utangazaji.

2 comments:

Anonymous said...

Wai.. aliingia kwa speed sana alidhani ndio ushindi unavyokuwa. kwenda zako huko..... umetutia aibu...just GONE LIKE STUDY TOUR.

Anonymous said...

Amechemsha kusema kweli. Japo nnamini kuwa katolewa kwa vile Tanzania ina sifa ya kufanya vizuri kwa hivyo safari hii isikaribie ushindi. Na pia ikumbukwe kuwa Mnet Africa hawakuta Botswana iwe ya mwanzo kutoka kama safari ile.