Sunday, September 28, 2008

MSAFIRI WA HON KONG AREJEA


Mshindi wa safari wa Hon Kong, Bw. Sosteness Raphael (kulia) amerejea nchini mchana huu baada ya kukaa Hon Kong kwa siku mbili ambako alipelekwa na gazeti la Ijumaa Wikienda katika Bahati Nasibu ya Jishindie safari ya Hon Kong iliyochezeshwa mwezi wa 3 mwaka huu. Kushoto ni mhariri wa gazeti hilo, Luqman Maloto.

No comments: