Tuesday, October 14, 2008

BONANZA LA WAFUNGWA LEO

Kamishana Mkuu wa magereza nchini, Augustino Nanyaro, akiongea na waandishi wa habari kuhusu kufanyika kwa Bonanza la Wafungwa leo katika gereza la Ukonga. Babu Seya, ambaye natumikia kifungo cha maisha katika gereza hilo, nae leo ataimba na kupiga muziki wa dansi!

Athuman Tipo, (kushoto), ambaye ndiye mmiliki wa Zizzou Fashions Store, ametoa jezi za soka za Simba na Yanga pamoja na mipira watakazotumia wafungwa hao leo gerezani.

No comments: