Monday, October 6, 2008

MAXIMO ATUA ZIZZOU FASHION

Juzi Ijumaa kocha mkuu wa Taifa Stars, Marcio Maximo alifanya Shopping katika duka la nguo maarufu jijini Dar es salaam, Zizzou Fashion lililoko Sinza jijini Dar es salaam kama anavyoonekana katika picha hizi.
...akiingia Zizzou Fashion Store
....akitafakari cha kununua na pembeni yake, mmiliki wa duka hilo, Tipo Athuman.
...akijaribu fulana ya Taifa Stars...
...hii bomba..
Kocha Maximo akiangalia aina mbalimbali za raba zilizopo Zizzou Fashion
Kocha Maximo akiwa na Mmiliki wa Zizzou Fashions Stores, Athuman Tippo.
Ilikuwa zali la mentali kwa masela wa Sinza Africa Sana kukutana na Maximo, hivyo kuomba kupiga nae picha!
Tipo akionekana kufurahia jambo wakati alipokuwa na kocha Maximo kwenye bustani za Atrium Hotel zilizopo jirani na Zizzou Fashion.

1 comment:

Yasinta Ngonyani said...

Asante kwa kutupasha habari tusiojua kuna duka nzuri kama hili kwani mimi napenda fashion mno. Nitatembelea karibuni.