Saturday, October 11, 2008

USO KWA USO NA NGOWI

Hatimaye nimekutana uso kwa uso na blogger Haki Ngowi (kushoto) ambaye tumekuwa tukiwasiliana mara kwa mara kwa njia ya mtadao tu. Ngoi yuko Bongo kwa likizo fupi kabla ya kurejea Singapore anakoliendeleza 'libeneke, la maisha.

4 comments:

Anonymous said...

Haki anaishi India na sio Singapore kama anavyowadanganya watu.Kijana mwambieni apunguze uongo.

Anonymous said...

Ndio nimekutana na mdau ngowi singapore last wik,acheni fitna tunajua amemaliza udosini Ila mimi na neema shayo tumekutana nae singapore..kamua baba

Anonymous said...

Haki Ngowi you are hot man, duuuh kila nionapo picha zako na data!

Anonymous said...

Mbona yupo India huyo na sio singapore anaishi bangarole mbona.