Sunday, October 12, 2008

WASANII WA NAMIBIA

Wasanii wa eneo la Etunda nchini Namibia wakicheza ngoma wakati Waziri Mkuu, Mizengo Pinda alipokwenda katika eneo hilo kukagua mradi wa kilimo cha umwagiliaji akiwa katika ziara ya nchi hiyo, October 8, 2008.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments: