Wednesday, September 16, 2009

MASIKINI JB!


Kama kuna msanii aliyeonekana kuguswa sana na kifo cha Mpakanjia, basi ni Steven Jacob 'JB'! alionekan dhahir kuwa mkiwa kila wakati. Hapa alikuwa nd'o akishuhudia swahiba na kipenzi chake akifukiwa kaburini masikini!

1 comment:

Anonymous said...

sio Jb peke yake! Meddy alikua mtu wa watu,mi binafsi nilikua soi mtu wa karibu sn nea ila nimesikitika sn haswa nikifikiria jamaa alivikua mpiganaji kimaisha na jinsi alivyokua akiwapa watu misaada istoshe familia yake anavyomtegemea maana yeye ndo mzazi pekee aliye bakia baada ya Amina kufariki! Kwa kwel kila kizuri hakina maisha,sis tunamuombea alale mahali pema.