Sunday, September 20, 2009

SALAMU ZA IDD!

Bi. Hanifa (kulia) wa Milton Keynes Uingereza ambaye yuko Bongo kwa matembezi mafupi, akiwa na kaka yake D. Salawi, wanatuma Salaam za Idd El fitri kwa Baba Farhat wa Bi. Rehema, mdau wa Readings Diegu Mbegu na waislamu wote wa Milton Keynes. Ujumbe: Tuendeleze ibada, tujiepushe na maovu katika siku hii tukufu na siku zijazo..Aamin!
Babu Kheri (kushoto) akiwa na Bi Farhat au 'mama' Baile, wanatoa mkono wa Idd kwa Baba Farhat na anti Rehema wote wa
Milton Keynes Uingereza. Ujumbe: Eid Mubarak!
*******************************************

Je, nawe una salamu za IDD? Nitumie picha na ujumbe kwa email: abbymrisho@gmail.com nami ntazirusha hewani bila hiyana

1 comment:

Yasinta Ngonyani said...

eid mubaraka njema kwa wote popote pale.