Wednesday, October 20, 2010

Mwisho Atua Bongo

Mshiriki wa BBA 2010 All Stars, Mwisho Mwampamba, ametua Bongo jioni hii akitokea Afrika Kusini alikoenda kushiriki shindano hilo ambako hakubahatika kukipata kitita cha Dola 200,000 zilizoenda Nigeria kwa Uti.,Mwisho ametua bila mchumba wake Meryl ambaye alimvisha pete ya uchumba wakiwa mjengoni. Kuhusu hilo, mrisho alijibu kwa kifupi...she is coming soon!!

No comments: