Wednesday, November 24, 2010

FRANK MTAO AMKUMBUKA MAMA YAKE MPENDWA

Ni miaka mitano sasa tangu ututoke rafiki yetu kipenzi, ndugu na mama yetu mpendwa. Ukarimu na ujasiri wako tutaukumbuka daima. Enyi marafiki, ndugu na jamaa popote mlipo, nawaomba sara zenu mumuombee mama yangu Felista Mtao akae mahali pema peponi huko aliko Amina!
Frank Mtao

1 comment:

yegera said...

kaka darasa lako nimelikubali hongera sana kaka pia nauliza kama unene utapungua tumbo pia litaisha kabisa?pia nisaidie kuhusu vyakula vinavyosababisha unene ni vipi kaka?.please kaka nisaidie.
naitwa yegera wa mwanza