URBAN PULSE ikishirikiana na Bongo UK pamoja na Chriss love Promotion wanependa kuwakumbusha wadau wote wa muziki hapa UK kuwa kutakuwa na show mbili za mwisho za Urban Tour zinazomshirikisha msanii mahiri wa kizazi kipya Diamond na Mish Ze Fyah Sis Kutoka Urban Pulse. Address na tarehe ni kama ziifuatavyo:
26th November 2010
CLUB AMBASSADOR
20 LONDON ROAD
BARKING, 1G11 8AJ
27 November 2010
116 GAR GOSFORD STREET
PALMS BAR
COVENTRY
CV1 5 EA
Kiingilio ni £10 kabla ya saa sita usiku.
Tafadhali wahi mapema na pia tunaomba mpe taarifa mwenzako.
WOTE MNAKARIBISHWA
Asanteni sana,
URBAN PULSE CREATIVE
26th November 2010
CLUB AMBASSADOR
20 LONDON ROAD
BARKING, 1G11 8AJ
27 November 2010
116 GAR GOSFORD STREET
PALMS BAR
COVENTRY
CV1 5 EA
Kiingilio ni £10 kabla ya saa sita usiku.
Tafadhali wahi mapema na pia tunaomba mpe taarifa mwenzako.
WOTE MNAKARIBISHWA
Asanteni sana,
URBAN PULSE CREATIVE
No comments:
Post a Comment