Sunday, July 17, 2011

MOSHI HAINA MAJOTRO!!

 Makamanda wa Fiesta wakikuandalia mapicha kituo hadi kituo, Michuzi JR (kulia) na Bukuku (shoto), hii ilikuwa jana pale mitaa ya kati Moshi Chuo cha Ushirika wakati Fiesta ikirindima.
 ...'Mzungu' nae hakukaa mbali na Fiesta!
Msanii anayekuja juu kutoka nchini Kenya, Jaguar, akifanya vitu vyake jukwaani.

PICHA: Hisani ya Michuzi Jr.

No comments: